saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Wakati akiwa UDSM akisomea Shahada ya Uchumi, Mwigulu alitambulika zaidi kwa jina la Chief Madelu na kuna taarifa za watu wake wa karibu alikuwa sio mhudhuriaji mzuri darasani kwenye Lecture, semina na presentations.
Lakini wakashangaa mwisho wa masomo yake chuoni akapata First Class kitu kilichowashangaza wanafunzi wengi hapo UDSM. lakini yeye mwenye Chief Madelu anajua alitumia mbinu gani kuweza kupata First Class.
Leo sasa watanzania wote wanaonja joto ya jiwe kutokana na Madelu kutoiva kwenye uchumi na kubaki kusema theory ambazo ukizipima huoni matokeo.