Wakati akiwa UDSM akisomea Shahada ya Uchumi, Mwigulu alitambulika zaidi kwa jina la Chief Madelu na kuna taarifa za watu wake wa karibu alikuwa sio mhudhuriaji mzuri darasani kwenye Lecture, semina na presentations.
Lakini wakashangaa kila yakija matokeo anapata first class wakawa wanajiuliza sana kulikoni? lakini yeye mwenye Chief Madelu anajua alikuwa anatumia mbinu gani kuweza kupata First Class.
Leo sasa watanzania wote wanaonja joto ya jiwe kutokana na Madelu kutoiva kwenye uchumi na kubaki kusema theory ambazo ukizipima huoni matokeo.
Pumba alizoongea mwigulu bungeni nimezisikia .ndio hiki ulichomsikia bungeni
Kwamba hata first class ni MCHONGOPumba alizoongea mwigulu bungeni nimezisikia .
Embu na wewe fafanua hapo uliposema mwigulu kwenye kila mtihani alikuwa anapata first class unamaanisha nini?
watu aliosoma nao ndio wanamjua vizuri ndio wamesema walishangaa kuona kapata first class... wakati uwezo wake chuoni ulikuwa wa kawaidaEmbu na wewe fafanua hapo uliposema mwigulu kwenye kila mtihani alikuwa anapata first class unamaanisha nini
Sipo huko nipo na huyo jamaa aliyesema kila akitoka kwenye paper anapata first class.Kwamba hata first class ni MCHONGO
Ni hivi hufahamu kuhusu degree classification za udsm.watu aliosoma nao ndio wanamjua vizuri ndio wamesema walishangaa kuona kapata first class... wakati uwezo wake chuoni ulikuwa wa kawaida
rais wa mawe tanzaniaKAMA ALIWEZA KUJIANDIKA KWENYE MAWE NI RAISI.UTASHANGAA KUELEZWA MKALEE MIMBA
soma vizuri nilichoandika
Sasa kama kila mtihani alipata A tupu kule mwisho atasema hivyo!Sipo huko nipo na huyo jamaa aliyesema kila akitoka kwenye paper anapata first class.
Inaelekea huyo jamaa hana uelewa wa jinsi marks zinavyopangwa .
Haiwezekani kusema eti huu mtihani nimeufaulu nimepata first class .
First Class or Second or third inapatikana baada ya kufanya cumulative ya mitihani yote hapo mwishoni.
So sio sahihi kusema mtihani huu amefaulu Kwa first class ( let's say just a test) ingawaje kwenye majumuisho ya kutengeneza class/grade matokeo hayo yatatumika