Chief Mangungo 2.0 na Ujinga wa Mwafrika 2013..

We are simply a bunch of lunatics, by means of our politics.
We have embraced mediocricy and rejected competence. We have loathed truth and chose deception instead.

I'm ashame of myself, that I haven't done eneough to address the problem.
 
Kwani waafrika wote wapo CCM hapa unaelezewa ujinga wa Mwafrika siyo ujinga wa Watanzania kama unavyotaka.

Braza una roho ngumu kweli kuitetea CCM muda wote huku Post zako nyingi wengi wanakupinga.
Hakika we ni damu halisi ya chama
 
Kwani waafrika wote wapo CCM hapa unaelezewa ujinga wa Mwafrika siyo ujinga wa Watanzania kama unavyotaka.

we vipi? Kutajiwa CCM ndo uwe mbogo? Kwani si ndo wanaopitisha mikataba au hujaelewa kilichoandikwa nini?
 
tunaendelea kufufua makaburi ya huu mradi wa gesi
 
Nimebahatika kufika Kilosa na nikafanikiwa kufika kijiji cha Msowero lakini nilivyojaribu kupata historia ya Chief Mangungu aliyeingia mkataba na Carl Peters hapakuwa na mtu wa kunielewesha.

Chief huyu alikuwa wa Msowero ya wapi,na kwa sasa eneo hilo linaitwaje?

Naomba msaada wa wana historia.
 
Palepale msowero ulipofika ndio alitawala hilo eneo ila historia yake hapo haipo kabisa.
 
Kiongozi alielaghaiwa!!Mzee wetu katika historia Mzee Said aje kutueleza jinale huyu Chief wetu kiislam aliitwa nani?
 
@Yamejirudia, GEACO ndio hiyo kampuni ya dwu-bai, Carl Peter na Mangungo siwataji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…