OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hellow wakuu,
Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of staff.
Chief of staff ndio mtu wa karibu zaidi na boss yeye ndiye huhusika na mipango yote ya Mheshimiwa na huyu chief of staff huwa haonekani kwenye camera ila ndiye mchezeshaji ndiye muandika hotuba ndiye mratibu wa mkutano na wanahabari n.k
Chief of staff kazi yake ni kusuka mipango, kuandaa sera, kupanga ratiba za mheshimiwa, kuhakikisha tishio lolote la kisiasa linalo mlenga boss analipata kwa haraka na kulishughulikia yeye ni zaidi ya mashine
Mara nyingi Chief of staff huwa ni mtu mwenye taaluma mbalimbali au amewahi kufanya kazi sehu mbali mbali anakuwa na uzoefu wa kutosha na connection za kutosha, chief of staff anaeeza asiwe Usalama ila ni zaidi ya mtu wa usalama, kitumbua cha boss kikiingia mchanga na yeye kazi inaiishia hapo hapo
Sasa nimekaa hapa kijiweni nikajiuliza kwa mamlaka aliyokuwa nayo mheshimiwa na kuwekwa kando, tena kwa surprise
Je, chief of staff wa Dkt. Mpango ni nani?