GE2025 Chief Ryemba na Dovutwa kutoa upinzani mkali kwa Samia, kwenye uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Samia Suluhu ni Mgombea wa CCM ambaye atakutana na upinzani mkali kuwai kushudiwa katika Historia ya vyama vingi.

Samia atachuana na majabali ya siasa hapa Tanzania kina, Chief Ryemba, na Dovutwa.

CCM wamejipanga kutumia mabilioni ya shilingi Ili kuandaa Kampeini kabambe ya kuwakabili majabali hayo ya siasa za Tanzania.

2025 ni Samia Vs Ryemba ,Dovutwa na Rungwe.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
 
Kuna mgombea mmoja anawakilisha watz wote, huyo wakimsikia hawana hamu....anaitwa NRNE
 
20250612_190153.jpg
 
Samia Suluhu ni Mgombea wa CCM ambaye atakutana na upinzani mkali kuwai kushudiwa katika Historia ya vyama vingi.

Samia atachuana na majabali ya siasa hapa Tanzania kina, Chief Ryemba, na Dovutwa.

CCM wamejipanga kutumia mabilioni ya shilingi Ili kuandaa Kampeini kabambe ya kuwakabili majabali hayo ya siasa za Tanzania.

2025 ni Samia Vs Ryemba ,Dovutwa na Rungwe.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Kwa tume ipi?
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1747824734726.mp4
    579.6 KB
Back
Top Bottom