Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Haijapata kutokeaMtanange mkali kweli kweli
Kwa tume ipi?Samia Suluhu ni Mgombea wa CCM ambaye atakutana na upinzani mkali kuwai kushudiwa katika Historia ya vyama vingi.
Samia atachuana na majabali ya siasa hapa Tanzania kina, Chief Ryemba, na Dovutwa.
CCM wamejipanga kutumia mabilioni ya shilingi Ili kuandaa Kampeini kabambe ya kuwakabili majabali hayo ya siasa za Tanzania.
2025 ni Samia Vs Ryemba ,Dovutwa na Rungwe.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Hii ya mama AbdulKwa tume ipi?