Chievo. vs Juventus Ronaldo !!!!!!

Chievo. vs Juventus Ronaldo !!!!!!

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,951
Naangalia game live hapa juve na Chievo nadhani atazikumbuka cross za madrid.

Huku hamna,kila mtu anafunga mwenyewe mpaka sasa 2 - 2 hajafunga wala kutoa assist. Ila rafu moja afanyiwa nje ya box ndio kapiga moja ya mashuti yake.
Yale mambo ya kutoa. Cross halafu unawai mbele warudishe cross ufunge hamna huku.

Yetu macho.
 
Mechi ya kwanza hiyo baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini nime - Declare mapema kwamba si shabiki wa mpira kwa ivo kuuliza si ujinga!! Kwani ilitokeaje mashabiki wengi wa Manchester United ndiyo wakawa pia mashabiki wa Ronaldo?
Ronaldo alipata umaarufu akiwa Man Utd, aliondoka kwenda Madrid kama shujaa wao mashabiki wengi walikuwa wanampenda, mashabiki wa Utd waliendelea kumpenda hata akiwa nje ya timu yao (amejitengenezea royal fanbase) wako tayari kumsapoti kila aendapo. Vivohivyo hata Madrid kuna mashabiki wamehama naye

Ujui mpira huyo ujueni ni mshindi wa baron di'or6 anaitwa mnyama cr7 ok be careful with your heart ok Kaka angu.
 
Lakini nime - Declare mapema kwamba si shabiki wa mpira kwa ivo kuuliza si ujinga!! Kwani ilitokeaje mashabiki wengi wa Manchester United ndiyo wakawa pia mashabiki wa Ronaldo?
Cr7 akiwa man u alifanya makubwa kwenye klabu
Pia alikuwa moto sana sio huyu sa sa mviziaji
Hivo alikaa kwenye damu za mashabiki wa The red devils

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ronaldo alipata umaarufu akiwa Man Utd, aliondoka kwenda Madrid kama shujaa wao mashabiki wengi walikuwa wanampenda, mashabiki wa Utd waliendelea kumpenda hata akiwa nje ya timu yao (amejitengenezea royal fanbase) wako tayari kumsapoti kila aendapo. Vivohivyo hata Madrid kuna mashabiki wamehama naye

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli inaelekea fanbase yake kubwa sana duniani. Siku moja nilimkandya uchezaji wake uzi ulifutwa haraka kuna mtu huko usimseme Cr7. Ndio nikajua huyu jamaa anapendwaaaa. !!

Basi jana ilibidi ashangilie mara 3 mabao ya wakali wengine, nadhani peak yake ilikuwa madrid, graph ndio inaanza kushuka hivyo
Ngoja nimpe nafasi nimeambiwa mechi ya kwanza hiyo.

Yetu macho, ha ha ha 😉😀
 
Cristiano Ronaldo took to social media on Saturday to express his delight at making a winning start to his Juventus career.

Happy Cristiano with win
Ronaldo did not get on the scoresheet as Juve triumphed 3-2 at Chievo in their Serie A opener, Federico Bernardeschi scoring the winner in stoppage time after the defending champions had earlier fallen 2-1 behind.

Mario Mandzukic thought he had won the game for Juventus before Bernardeschi settled matters, only for VAR to disallow the goal, with Ronaldo having possibly handled and collided with goalkeeper Stefano Sorrentino in the build-up.

And despite not grabbing a goal for himself on his bow for the Turin club, former Real Madrid star Ronaldo - who arrived in a €112million deal last month - tweeted: "Happy with my first victory in a Juve shirt!

Ronaldo will have his next chance to open his Juve account when they host Lazio next weekend.
 
Back
Top Bottom