Naangalia game live hapa juve na Chievo nadhani atazikumbuka cross za madrid.
Huku hamna,kila mtu anafunga mwenyewe mpaka sasa 2 - 2 hajafunga wala kutoa assist. Ila rafu moja afanyiwa nje ya box ndio kapiga moja ya mashuti yake.
Yale mambo ya kutoa. Cross halafu unawai mbele warudishe cross ufunge hamna huku.
Yetu macho.