[emoji23] [emoji23]Nakuona Team Messi. Game moja tu, hata haijaisha tayari maneno yameanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya kwanza hiyo babaNaangalia game live hapa juve na Chievo nadhani atazikumbuka cross za madrid.
Huku hamna,kila mtu anafunga mwenyewe mpaka sasa 2 - 2 hajafunga wala kutoa assist. Ila rafu moja afanyiwa nje ya box ndio kapiga moja ya mashuti yake.
Yale mambo ya kutoa. Cross halafu unawai mbele warudishe cross ufunge hamna huku.
Yetu macho.
Kama hujui imetokeaje acha kushabikia soka rudi kwa kina Sholo MwambaMimi sio shabiki wa mpira lakini nimegundua kwamba mashabiki wengi wa Ronaldo wengi wao ni mashabiki pia wa Manchester United. Hii imetokeaje?
Lakini nime - Declare mapema kwamba si shabiki wa mpira kwa ivo kuuliza si ujinga!! Kwani ilitokeaje mashabiki wengi wa Manchester United ndiyo wakawa pia mashabiki wa Ronaldo?Kama hujui imetokeaje acha kushabikia soka rudi kwa kina Sholo Mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo alipata umaarufu akiwa Man Utd, aliondoka kwenda Madrid kama shujaa wao mashabiki wengi walikuwa wanampenda, mashabiki wa Utd waliendelea kumpenda hata akiwa nje ya timu yao (amejitengenezea royal fanbase) wako tayari kumsapoti kila aendapo. Vivohivyo hata Madrid kuna mashabiki wamehama nayeLakini nime - Declare mapema kwamba si shabiki wa mpira kwa ivo kuuliza si ujinga!! Kwani ilitokeaje mashabiki wengi wa Manchester United ndiyo wakawa pia mashabiki wa Ronaldo?
Ujui mpira huyo ujueni ni mshindi wa baron di'or6 anaitwa mnyama cr7 ok be careful with your heart ok Kaka angu.Naangalia game live hapa juve na Chievo nadhani atazikumbuka cross za madrid.
Huku hamna,kila mtu anafunga mwenyewe mpaka sasa 2 - 2 hajafunga wala kutoa assist. Ila rafu moja afanyiwa nje ya box ndio kapiga moja ya mashuti yake.
Yale mambo ya kutoa. Cross halafu unawai mbele warudishe cross ufunge hamna huku.
Yetu macho.
Kajifunze kuandika kwanzaUjui mpira huyo ujueni ni mshindi wa baron di'or6 anaitwa mnyama cr7 ok be careful with your heart ok Kaka angu.
Cr7 akiwa man u alifanya makubwa kwenye klabuLakini nime - Declare mapema kwamba si shabiki wa mpira kwa ivo kuuliza si ujinga!! Kwani ilitokeaje mashabiki wengi wa Manchester United ndiyo wakawa pia mashabiki wa Ronaldo?
Ronaldo alipata umaarufu akiwa Man Utd, aliondoka kwenda Madrid kama shujaa wao mashabiki wengi walikuwa wanampenda, mashabiki wa Utd waliendelea kumpenda hata akiwa nje ya timu yao (amejitengenezea royal fanbase) wako tayari kumsapoti kila aendapo. Vivohivyo hata Madrid kuna mashabiki wamehama naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujui mpira huyo ujueni ni mshindi wa baron di'or6 anaitwa mnyama cr7 ok be careful with your heart ok Kaka angu.