Chifu mkuu wa Wachagga ni Marealle au Kileo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naomba kuelimishwa ili nipate kuelewa vizuri historia.

Najua wakoloni walimpokonya uchifu mangi Kileo lakini juzikati mangi Kileo ( mtoto ) ametawazwa na kurejeshwa madarakani.

Ndio nauliza Chifu mkuu wa Chagga land ni Mangi Marealle au Mangi Kileo

Nauliza kutokea Lugalo kwa Chifu Mkwawa ( kidume)
 
Unatufuatilia sana sisi Wachaga
 
Haina tofauti na kuuliza "hivi Rais wa Tanzania ni Waziri Mkuu".

Fikiri kabla ya swali
 
utashngaa watamtawaza Samia
 
Kwa Chief Mkwawa ni Kalenga. Acha upotoshaji.
 
Mimi nipo Lugalo palipopiganwa vita ya mwisho.

Usinipangie wewe meku........hahahaaaa!
Eneo la mapigano haliwezi kuwa ndiyo kwa Chief wetu Mkwawa. Makazi ya Mkwawa yapo Kalenga. Ndipo ilipokuwa capita yake. Hata fuvu lake na kizazi chake wapo Kalenga hata leo...kwanza ww ni Mkinga siyo mtu. Usinibishie
 
Eneo la mapigano haliwezi kuwa ndiyo kwa Chief wetu Mkwawa. Makazi ya Mkwawa yapo Kalenga. Ndipo ilipokuwa Dodoma yake. Hata fuvu lake na kizazi chake wapo Kalenga hata leo...kwanza ww ni Mkinga siyo mtu. Usinibishie
Basi hamisheni haya makaburi ya mashujaa!

Mkinga ni mchungaji Msigwa mimi ni mrombo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…