Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Itoshe kusema uchagani hakuna chief kwasababu hatambuliki na hana mamlaka yoyote, ni mtu anaamua kujiita tu.
Chief wa wachaga ni hela, kama huna hela hata uwe mtoto wa mareale, kileo au Mangi mushi wa kibosho, utapigwa makofi na mtoto wa mzee chuwa na hutamuambia kitu