Chifu Mwakatumbula wa Wanyakusa akabidhiwa Ikulu ya kichifu leo...Imejengwa mwaka 1900

Chifu Mwakatumbula wa Wanyakusa akabidhiwa Ikulu ya kichifu leo...Imejengwa mwaka 1900

Uchifu ungerudishwa uwe na hadhi kama chiefdom za Uganda. Sioni ubaya wa makabila kuwa na Machifu wao ili kuendeleza mila na desturi zao
Uchifu haufai hata kidogo. Huko Nigeria machifu wako kama miungu watu. Wanaishi kitajiri, wanatumika na wanasiasa huku wakiwa vinara wa siasa za ukabila. Huko Uganda hivyo hivyo.

Niliona na mwingine huko Zambia akibebwa na familia yake kupita mto Zambezi kifahari sana. Nyerere aliona mbali sana kuban hawa watu.
 
So aliyekuambua lazima uwe na jina la mzizi ndio uwe chief Nani!?
... keywords kwenye bandiko lako ni kabila, mila, desturi unayatekeleza vipi hayo ukiwa katika ubatizo? Unless ni ubatizo jina anyway and if so, why doing so?
 
Hili Bomu la ukabila linapikwa asee Raisi ajaye aangalie utaratibu wa kufuta hizi division za kikabila waasisi wetu wa mataifa haya hawakuwa wajinga kufuta hizo mamlaka za kikabila na ndio chanzo cha amani tunayoringia, sasa Hangaya huku sijui anatupeleka wapi
 
Sidhani....Sana Sana Naona ndio zitakuza na kuimarisha utamaduni wetu , miila na Amani ...Dunia tubendako ubinafsi ni mkubwa sana
 
Sidhani....Sana Sana Naona ndio zitakuza na kuimarisha utamaduni wetu , miila na Amani ...Dunia tubendako ubinafsi ni mkubwa sana
Duh ndugu yangu once Ukabila Ukipata nguvu ni hatari kwa umoja wetu wakuu, nyerere hakuwa mjinga kuondoa mamlaka ya kikabila
 
Duh ndugu yangu once Ukabila Ukipata nguvu ni hatari kwa umoja wetu wakuu, nyerere hakuwa mjinga kuondoa mamlaka ya kikabila
Kivipi ? Je sababu zilizomfanya mpaka kuondoa mifumo hiyo wakati ule, mpaka sasa zinaweza kutumikaje!?
 
Back
Top Bottom