Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Zodumu fikra za Josephine for a change, maana imedhihirika mnazifuata sana kupitia kwa mchumba wake!Watu wengine uwezo wao wa kuelewa ni mdogO, wanategemea ZIDUMU FIKRA ZA MWENYE KITI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zodumu fikra za Josephine for a change, maana imedhihirika mnazifuata sana kupitia kwa mchumba wake!Watu wengine uwezo wao wa kuelewa ni mdogO, wanategemea ZIDUMU FIKRA ZA MWENYE KITI
Nini usichoelewa, habari hiyo ambayo imekuwa published gazetini? Hujaelewa siri iliyotolea na Waziri Chikawe mambo ambayo yamelalamikiwa na vyama vya upinzani hali kadhalika tume ya katiba?
Huu ni uhuni uliofanyika bungeni ndio huuelewi?
CHADEMA , CUF na NCCR_MAGEUZI ndo wanamtisha Rais, asaini tu tuone.
Hii ni article kutoka kwenye media zingine au ni habari uliyoandika wewe mwenyewe?.
Kama umevuta kutoka kwenye media nyingine, weka SOURCE yake ili wachangiaji wapate mwanga wa kile wanachochangia kilipotoka, kuacha kuweka SOURCE wakati umevuta kutoka sehemu nyingine utaangukia kwenye kundi la watu wanaoingizwa kwenye kundi la wezi wa maandishi (Plagiarizer) na ambao wanataka sifa na pongezi ambazo hawastahili.
Wape wachangiaji haki wanayostahili kimaandishi nje ya hivyo utakuwa ni utapeli wa maandishi and cynicism.