mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Jamani sio Chikawe na Lukuvi tu., kule Zanzibar pia kuna Seif Ali Iddi, Shams Nahodha na Mzee wa Ruksa.,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chikawe amesema haya kwenye mkutano wa wanasheria dodoma.anasema yeye haoni tatizo lolote katika mswada uliopitishwa wa kuunda bunge maalumu la katiba na kwamba siyo lazima kukubaliana na kila kitu cha wapinzani na kama wana hoja basi waseme bungeni siyo kwenye mikutano ya hadhara.
my take:namshangaa huyu chikawe hajui kwamba katiba si ya bunge ni ya wananchi.na kama katiba ni mali ya wananchi basi mahali pekee pa kueleza kasoro hizo ni kwa wenye mali yaani wananchi na hawa wanapatikana kwenye mikutano ya hadhara.
Macho ya chikawe,lukuvi na wasira yana matatizo,kwa sababu watu wengi pamoja na wasomi waliobobea na wanasheria wanaona mapungufu mengi katika mswada uliopitishwa lakini hawa watatu hawaoni mapungufu yoyote.nawahurumia sana.
Chikawe amesema haya kwenye mkutano wa wanasheria Dodoma.Anasema yeye haoni tatizo lolote katika mswada uliopitishwa wa kuunda bunge maalumu la katiba na kwamba siyo lazima kukubaliana na kila kitu cha wapinzani na kama wana hoja basi waseme bungeni siyo kwenye mikutano ya hadhara.
My take:Namshangaa Huyu Chikawe hajui kwamba katiba si ya bunge ni ya wananchi.Na kama katiba ni mali ya wananchi basi mahali pekee pa kueleza kasoro hizo ni kwa wenye mali yaani wananchi na hawa wanapatikana kwenye mikutano ya hadhara.
Macho ya Chikawe,Lukuvi na Wasira yana matatizo,kwa sababu watu wengi pamoja na wasomi waliobobea na wanasheria wanaona mapungufu mengi katika mswada uliopitishwa lakini hawa watatu hawaoni mapungufu yoyote.Nawahurumia sana.
Sijui Mh Kikwete alipata wapi haya masalia kumsaidia kazi? Hutegemei mtu mwenye dhamana na akili timamu kutoa kauli za kipumbavu kama hizi, wapinzani wakiongea wanatolewa nje na askari, sasa ccm inataka wapinzanu wakaongelee wapi zaidi ya kwenda kuwapa mrejesho wa ujinga wa Ccm_? Yaani Chikawe hajiulizi ilikuwaje hadi ashindwe ujumbe wa NEC na kijana asiye na jina? Siku zenu zinahesabikaChikawe amesema haya kwenye mkutano wa wanasheria Dodoma.Anasema yeye haoni tatizo lolote katika mswada uliopitishwa wa kuunda bunge maalumu la katiba na kwamba siyo lazima kukubaliana na kila kitu cha wapinzani na kama wana hoja basi waseme bungeni siyo kwenye mikutano ya hadhara.