Chikawe: Nikweli baadhi ya vipengele vya katiba havikujadiliwa Zanzibar

Chikawe: Nikweli baadhi ya vipengele vya katiba havikujadiliwa Zanzibar

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
sasa serikali imekiri kuwa rasimu ya katiba baadhi ya vipengele havikujadiliwa huko zanzibar ila nitatizo dogo sana halina haja ya kuleta mtafaruku/mkanganyiko..
source : RFA
 
Walipokuwa wanawabeza wapinzani kuwa ni wachochezi ndio wamekurupuka kuwa walikuwa sahihi. Serikali ya ccam Bara wanapuuza sana Zanzibar ndio sababu wazanzibar wameshaona hakuna umuhimu wa Muungano uliopo sasa. No wonder even EAC tunaonekana mzigo.
 
Inaniuzi mibunge ya ccm, utakuta jitu limelala mwanzo wa kikao hadi mwisho wa kikao lakini ukilikurupusha tu utasikia NDIOOOOOOOOO!...,
 
Personally kwenye hili swala nawaona AG, Wasira, Ndugai, Chikawe na Lukuvi kama waigizaji wa picha za 'pilau' kwa kelele zao!
 
Kwa kauli hii hao wakubwa wa dakika45at ITV watakuwa na hoja gani mpya. Unajua CCM wanafanya ambayo hata wao yanawatatiza na kuwahudhi.
 
Acheni kupotosha nyie. Chikawe hajatamka hayo labda kama mmemlisha maneno
 
Acheni kupotosha nyie. Chikawe hajatamka hayo labda kama mmemlisha maneno
Kelele unafakiri kila mtu anakurupuka kama mnavyo kurupuka nyie? Au kwa sababu mpo kwa kutetea kila hoja?
 
Acha uongo mkuu chikawe hajasema hayonpengine ni maneno yako ya kujitakasa kwa uongonuliozoea kuzua kwenye mijadala kadhaa.
 
Hivi huoni kufanya hivi ni kuiaibisha familia yako, kibaya zaidi unawatumikia mabwana zako wa Lumumba!
Wewe ndiye unayetumikia wanasiasa uchwala ambao wameweka maslahi ya vyama mbele kuliko taifa ulishaona wapi watu wanakimbia bunge na kwenda kujadili katiba jangwani na kiembe samaki.
 
Kelele unafakiri kila mtu anakurupuka kama mnavyo kurupuka nyie? Au kwa sababu mpo kwa kutetea kila hoja?
Mkuu utakuwa umevurugwa unapotosha watu halafu uachwe tu huko unajidanganya hili jukwaa si la upotoshaji.
 
sasa serikali imekiri kuwa rasimu ya katiba baadhi ya vipengele havikujadiliwa huko zanzibar ila nitatizo dogo sana halina haja ya kuleta mtafaruku/mkanganyiko..
source : RFA
Katika waongo wewe ni namba one hata aibu huoni chikawe hajatamka usemayo pengine unaongea kwa niaba yake au uliongea kwa niaba yake.
 
sasa serikali imekiri kuwa rasimu ya katiba baadhi ya vipengele havikujadiliwa huko zanzibar ila nitatizo dogo sana halina haja ya kuleta mtafaruku/mkanganyiko..
source : RFA

Najuta sana kuwa mtanzania ..maana tunaongozwa na mapimbi..waziri hawezi kusema ni tatizo dogo hilo
 
Katika waongo wewe ni namba one hata aibu huoni chikawe hajatamka usemayo pengine unaongea kwa niaba yake au uliongea kwa niaba yake.

Sema basi wewe hayo aliyotamka shemeji yako chikawe kwa usahihi
 
Ukweli unaanza kufunguka taratibu.... sasa Chikawe kaanza, atafuata Lukuvi then Wassira nk.
Nahisi bosi wa magogoni ameshausoma mchezo...!
 
Ni jambo la hatali sana kuanza na viroba asubuhi badala ya chai chikawe kanena tofauti mtu katunga maneno yake katuletea.
 
Back
Top Bottom