Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada mhuni anadanganya huku tunaona chikawe kasema katiba itapatikana kwa wakati uliopangwa,Bishana kwa hoja, weka wewe alichosema Chikawe ili tumalize ubishi!
Ni jambo la hatali sana kuanza na viroba asubuhi badala ya chai chikawe kanena tofauti mtu katunga maneno yake katuletea.
chama dhaifu huzaa serikali dhaifu ya kudharauliwa hata na majirani.walipokuwa wanawabeza wapinzani kuwa ni wachochezi ndio wamekurupuka kuwa walikuwa sahihi. Serikali ya ccam bara wanapuuza sana zanzibar ndio sababu wazanzibar wameshaona hakuna umuhimu wa muungano uliopo sasa. No wonder even eac tunaonekana mzigo.
Umemsahau na mtu anaitwa Pindi Chana, hivi watapewa adhabu gani kwa kus3ma uongo bungeni? Hawa jamaa hawaja jua kama Watanzania wa keo sio na wale waliokuwa wanawadanganya kwenye chama kimoja,Personally kwenye hili swala nawaona AG, Wasira, Ndugai, Chikawe na Lukuvi kama waigizaji wa picha za 'pilau' kwa kelele zao!
Na kama watanzania tungekuwa makini leo tungesha liamsha baada ya kauli ya huyu --------.....Madudu waliyofanya wamepelekea wabunge kupigwa kudhalilishwa.. halafu leo ana simama ana kusemea kirahisi tu eti ni tatizo dogo...!?Najuta sana kuwa mtanzania ..maana tunaongozwa na mapimbi..waziri hawezi kusema ni tatizo dogo hilo
Hakuna cha adhabu wale ni maana wote ni wapumbavu! huoni hata madawa ya kulevya watu wanaachiwa huru....Umemsahau na mtu anaitwa Pindi Chana, hivi watapewa adhabu gani kwa kus3ma uongo bungeni? Hawa jamaa hawaja jua kama Watanzania wa keo sio na wale waliokuwa wanawadanganya kwenye chama kimoja,
Bahati mbaya sana sipendi unafiki/uongo kama ya matahira CCM, ndiyo maana nikaweka na source....Mleta mada mhuni anadanganya huku tunaona chikawe kasema katiba itapatikana kwa wakati uliopangwa,
Akawataka wapinzani kama wanapinga mwenendo wa katiba wakajenge hoja bungeni kwani katiba haitungwi jangwani.
Wewe ndiye unayetumikia wanasiasa uchwala ambao wameweka maslahi ya vyama mbele kuliko taifa ulishaona wapi watu wanakimbia bunge na kwenda kujadili katiba jangwani na kiembe samaki.