Karibu tena kwenye Milima ya Upareni. Ila usijali,network imejaa ndugu.Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.
Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
Hapana siendi nyumbani naenda vijiji vya hukuhuku kanda ya ziwa lakini ni ndani ndani sana hakuna mambo ya simu simu hukoKaribu tena kwenye Milima ya Upareni. Ila usijali,network imejaa ndugu.
Nitakuletea MATOBOLWA unayafahamu au jina lingine MICHEMBE😀Utuletee zawadi
Hata mimi nitai miss JF maana umeshakuwa kama ulevi wanguKila la kheri dear. Tutakumiss...
Watumie salamu zetu, waambie wasihuzunike kuishi vijijini, waambie hata huku kwetu Dar maisha bado ni magumu kwa Mtanzania wa kawaida...
Basi unaenda Gambosh.... Kila la kheri Mkuu! Wasalimie Shinyanga, hebu waulize huko kuzimu kama Hali mbaya ya kiuchumi inawagusa mpaka wao. Usisahau MrejeshoHapana siendi nyumbani naenda vijiji vya hukuhuku kanda ya ziwa lakini ni ndani ndani sana hakuna mambo ya simu simu huko
hahahahahahahahahaahahahahahahah weeee makufuli weeeeeUnaogopa kuwa kama ben
Ni zaidi ya Gamboshi maana huko hata guest tutalala nyumba za tembe tu hakuna bati wala nini! Ila ndi maisha yote ni kheriBasi unaenda Gambosh.... Kila la kheri Mkuu! Wasalimie Shinyanga, hebu waulize huko kuzimu kama Hali mbaya ya kiuchumi inawagusa mpaka wao. Usisahau Mrejesho
MAPUMZIKO MEMA..Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.
Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
kive..r kuna network weweKaribu tena kwenye Milima ya Upareni. Ila usijali,network imejaa ndugu.
Sasa Elli hata ukinipa namba ya simu kule haitanisaidia! sijapata nimpendae na ila katika kutafuta mkate wa kila siku, ni sehemu za shughuli za ujenzi wa Taifa letuUmeshampata anayejua kukupenda?? Nimeshakuamnbia mara kibao onjoo nikupende hutaki...haya uende salama urudi salama, nakutumia namba yangu Inbox kama utapata dharura na ukahitaji msaada wa haraka
haahaaahhhha Yamakagashi! tehe tehe tehe sio mazima bwana, Mungu akijalia Februari, 2017 nitakuwepo hewani inshallahDah nilijua unaondoka mazima ,Inshallah tutaonana panapo majaliwa
Ahsante myoyambendi, ila naenda kikazi mpendwa wangu!MAPUMZIKO MEMA..
Haha Haya mama kila la kheri Mungu akutunzehaahaaahhhha Yamakagashi! tehe tehe tehe sio mazima bwana, Mungu akijalia Februari, 2017 nitakuwepo hewani inshallah