Chikira Mtabari nawaaga

Chikira Mtabari nawaaga

Ndio muda wa kuandaa mashamba ya mpunga nini!
Urudi salama ila tutakumis sana
 
Sasa Elli hata ukinipa namba ya simu kule haitanisaidia! sijapata nimpendae na ila katika kutafuta mkate wa kila siku, ni sehemu za shughuli za ujenzi wa Taifa letu
Basi nitakupigia, ufike salama urudi salama, MUNGU akipenda tutaonana
 
tumia halotel bwana nitakumiss sana shost wangu ulienipa dokta mjini hapa
hahahahahaah, kula hakuna hata ka mnara, ni vijijini kweli, guest ni nyumba za tembe sijui kama unazijua zimeezekwa kwa udongo! ni maisha plus Fulani! hahahahhahah, Um handle vizuri Dr. tehe tehe tehe
 
ahahaaa hii nchi ina vijiji vya ajabu ila watu wanaishi kuna siku nilienda handeni vijijini ndani hukooo yaani nilikoma nilillala tu kwenye gari na boss maana kulikuwa hakuna jinsi yaaani nyumba za udongo kijiji kizima halafu vumbiii kukiwa na safari za huko nauchuna kama sio mimi yaani
 
Unaenda kupata mafunzo zaidi ya Ushushushu. Kila la kheri Mkuu
 
Usisahau kuchukua kale kamtungi kadogo ka gesi bibiye,usije kurudi na macho mekundu kwa kupikia kinyesi cha ng'ombe au kuni
 
Usisahau kuchukua kale kamtungi kadogo ka gesi bibiye,usije kurudi na macho mekundu kwa kupikia kinyesi cha ng'ombe au kuni
Kule tunapikiwa lakini ndio hivyo unatakiwa kuwa na moyo wa chuma, maana hata chapati unakuta anakandia kibao kiko kwenye udongo kabisa! tutabeba maji ya kunywa tu, vingine ni huko huko mfano maji ya kuoga wanachota kwenye vimto yanakuwa kama maziwa Fulani hivi lakini yote ni maisha!
 
Chikira, matobolwa na michembe ni vitu tofuati ingawa yanatokana na viazi vitamu.
alaa kumbe, mie nilidhani michembe ni kusukuma na matobolwa ni kinyamwezi! Ahsante kwa kunielewesha
 
Back
Top Bottom