Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Hahaaa! Furaha ya gongowazi ni kipindi cha usajili tu baaaaasssLeo ni vyuma viwili kwa mpigo sio kurudisha waliofeli kama huko kwa mudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa! Furaha ya gongowazi ni kipindi cha usajili tu baaaaasssLeo ni vyuma viwili kwa mpigo sio kurudisha waliofeli kama huko kwa mudi
Huyu chiko naye ni miongoni mwa waliofeli . Huwezi toka timu kubwa ukaja kucheza timu ya mchangani tena kwa mkopo.Timu ambayo ktk viwango vya ubora Afrika inashika nafasi ya 600. Mchezaji ambaye anapigwa benchi na Thomas Ulimwengu , Ulimwengu ambae anapigwa benchi Hadi na Bocco taifa stars . Bocco ambaye anapigwa benchi na Kagere simba scLeo vinatambulishwa vyuma viwili.Stay tuned kazi mnayo.Rekodi za vyuma hivyo Huwezi kufananisha na rekodi za waliofeli
Duh[emoji848]Huyu chiko naye ni miongoni mwa waliofeli . Huwezi toka timu kubwa ukaja kucheza timu ya mchangani tena kwa mkopo.Timu ambayo ktk viwango vya ubora Afrika inashika nafasi ya 600. Mchezaji ambaye anapigwa benchi na Thomas Ulimwengu , Ulimwengu ambae anapigwa benchi Hadi na Bocco taifa stars . Bocco ambaye anapigwa benchi na Kagere simba sc