Chiko Ushindi atua Dar es Salaam kujiunga ya Klabu ya Yanga

Leo vinatambulishwa vyuma viwili.Stay tuned kazi mnayo.Rekodi za vyuma hivyo Huwezi kufananisha na rekodi za waliofeli
Huyu chiko naye ni miongoni mwa waliofeli . Huwezi toka timu kubwa ukaja kucheza timu ya mchangani tena kwa mkopo.Timu ambayo ktk viwango vya ubora Afrika inashika nafasi ya 600. Mchezaji ambaye anapigwa benchi na Thomas Ulimwengu , Ulimwengu ambae anapigwa benchi Hadi na Bocco taifa stars . Bocco ambaye anapigwa benchi na Kagere simba sc
 
Bingwa wa mapinduzi cup ni utopolo,[emoji16][emoji16]
 
Duh[emoji848]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania mchezani ni Chama na Sakho tu,hao wengine wanakata vitunguu tu uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…