Nimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia).
Ofcoz bado hajawa na impact kubwa kama ilivyotarajiwa, lkn naomba wana-Yanga wenzangu tumpe muda zaidi. Atakuja kuwa tegemeo. Chiko si mbovu kama tunavyotaka kuaminishana