Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Nimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia).

Ofcoz bado hajawa na impact kubwa kama ilivyotarajiwa, lkn naomba wana-Yanga wenzangu tumpe muda zaidi. Atakuja kuwa tegemeo. Chiko si mbovu kama tunavyotaka kuaminishana
 
Yeye na mwenzie Moloko watupishe
 
Chico anatakiwa kupewa muda mwingi wa kucheza. Benchi limemfanya akose kujiamini na pia kufanya maamuzi sahihi awapo uwanjani. Na uzuri umri bado unamruhusu.

Jesus Moloko ndiyo naona ni homa ya vipindi! Hana tofauti na Zawadi Mauya! Leo anacheza vizuri, kesho anachemsha!
 
Chiko Ushindi aende Kwa mkopo uko ndio atasubiriwa. Yanga ya Sasa si yakumsubiri mchezaji ayo mambo ya kisubiliana yapo Simba.
 
Nainga mkono hoja huwezi kumsubiri mchezaji ili hali timu inakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa ni vema yeye, Moloko, na Yavuba waende kwa mkopo timu kama DTB, wakapate namba warudishe makali yao
 
Yacouba? Una wazimu nini wewe?
Ameumia muda mrefu na team imemsubiri yule ni mchezaji muhimu tunayemtaka amekamilika ..

Akirudi ile winga ya kushoto ni ya kwake moja kws moja.
 
Chiko Ushindi aende Kwa mkopo uko ndio atasubiriwa. Yanga ya Sasa si yakumsubiri mchezaji ayo mambo ya kisubiliana yapo Simba.
Unaongea hayo sababu kwasasa yanga wako vizur ila unaweza sena umuache flan ili upate hatari zaidi ukaenda kupigwa za uso
 
Chico na Makambo muda WOTE wapo benchi huo ubora tutauona wapi? Makocha vilaza.
 
Yanga wafukuze timu nzima wasajiri nyingine msimu ujao , huwezi kwenda ligi ya mabingwa na wachezaji used toka congo /as vita . Wachezaji reject ndo unawapeleka tena ligi ya mabingwa ?
 
Yacouba? Una wazimu nini wewe?
Ameumia muda mrefu na team imemsubiri yule ni mchezaji muhimu tunayemtaka amekamilika ..

Akirudi ile winga ya kushoto ni ya kwake moja kws moja.
Acha maneno machafu, tuheshimiane toa mawazo yako kwa kuheshimu wengine
 
Sahihi
Chico anatakiwa kupewa muda mwingi wa kucheza. Benchi limemfanya akose kujiamini na pia kufanya maamuzi sahihi awapo uwanjani. Na uzuri umri bado unamruhusu.

Jesus Moloko ndiyo naona ni homa ya vipindi! Hana tofauti na Zawadi Mauya! Leo anacheza vizuri, kesho anachemsha!
 
Watani zetu Utopolo wakina Tate Mkuu na Shombe la Kisomali aina ya wachezaji wenu group stage caf mtaiota tu ila hamtagusa.
Kwahyo umeona Yanga ni wakumchezesha Chico Ushindi mechi kubwa kama hizo, huoni Jana kapangwa kwenye kikosi na biashara.. Offcoz Yanga for now hatuna Cha kupoteza.. kilichobaki ni kumpasua coastal union Kwa Mkapa then mechi zilizobaki zote tunatoa draw ili mufurahi nyie makolo
 
Mlimsajili wa nini?
Tatizo lenu uto mnasjiliwa wachezaji wa mafungu na hersi
 
Attachments

  • D2B4C7B7-5108-43F6-8A4C-74DAC3F02D94.jpeg
    D2B4C7B7-5108-43F6-8A4C-74DAC3F02D94.jpeg
    58.8 KB · Views: 9
Watani zetu Utopolo wakina Tate Mkuu na Shombe la Kisomali aina ya wachezaji wenu group stage caf mtaiota tu ila hamtagusa.
Uzuri wa Yanga inafanya mambo yake kitaalam! Kama tulivyojipanga kwenye usajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa wa ligi kuu, hakika tumefanikiwa kwa 99%. Na Jumamosi tunawapiga pale Kirumba, na kufuzu hatua ya fainali.

Baada ya msimu wa ligi kuisha, na kuchukua makombe yote; tutaongeza mafundi wachache kwa ajili ya mashindano ya Kimataifa! Hivyo msimu ujao patachimbika. Ni suala tu la muda.
 
Back
Top Bottom