Yeye na mwenzie Moloko watupisheNimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia).
Ofcoz bado hajawa na impact kubwa kama ilivyotarajiwa, lkn naomba wana-Yanga wenzangu tumpe muda zaidi. Atakuja kuwa tegemeo. Chiko si mbovu kama tunavyotaka kuaminishana
Nainga mkono hoja huwezi kumsubiri mchezaji ili hali timu inakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa ni vema yeye, Moloko, na Yavuba waende kwa mkopo timu kama DTB, wakapate namba warudishe makali yaoChiko Ushindi aende Kwa mkopo uko ndio atasubiriwa. Yanga ya Sasa si yakumsubiri mchezaji ayo mambo ya kisubiliana yapo Simba.
Yacouba? Una wazimu nini wewe?Nainga mkono hoja huwezi kumsubiri mchezaji ili hali timu inakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa ni vema yeye, Moloko, na Yavuba waende kwa mkopo timu kama DTB, wakapate namba warudishe makali yao
Unaongea hayo sababu kwasasa yanga wako vizur ila unaweza sena umuache flan ili upate hatari zaidi ukaenda kupigwa za usoChiko Ushindi aende Kwa mkopo uko ndio atasubiriwa. Yanga ya Sasa si yakumsubiri mchezaji ayo mambo ya kisubiliana yapo Simba.
Acha maneno machafu, tuheshimiane toa mawazo yako kwa kuheshimu wengineYacouba? Una wazimu nini wewe?
Ameumia muda mrefu na team imemsubiri yule ni mchezaji muhimu tunayemtaka amekamilika ..
Akirudi ile winga ya kushoto ni ya kwake moja kws moja.
Chico anatakiwa kupewa muda mwingi wa kucheza. Benchi limemfanya akose kujiamini na pia kufanya maamuzi sahihi awapo uwanjani. Na uzuri umri bado unamruhusu.
Jesus Moloko ndiyo naona ni homa ya vipindi! Hana tofauti na Zawadi Mauya! Leo anacheza vizuri, kesho anachemsha!
Ok samahani kama nimekukwaza mzee.Acha maneno machafu, tuheshimiane toa mawazo yako kwa kuheshimu wengine
Unaongea hayo sababu kwasasa yanga wako vizur ila unaweza sena umuache flan ili upate hatari zaidi ukaenda kupigwa za uso
Kwahyo umeona Yanga ni wakumchezesha Chico Ushindi mechi kubwa kama hizo, huoni Jana kapangwa kwenye kikosi na biashara.. Offcoz Yanga for now hatuna Cha kupoteza.. kilichobaki ni kumpasua coastal union Kwa Mkapa then mechi zilizobaki zote tunatoa draw ili mufurahi nyie makoloWatani zetu Utopolo wakina Tate Mkuu na Shombe la Kisomali aina ya wachezaji wenu group stage caf mtaiota tu ila hamtagusa.
Mlimsajili wa nini?Kwahyo umeona Yanga ni wakumchezesha Chico Ushindi mechi kubwa kama hizo, huoni Jana kapangwa kwenye kikosi na biashara.. Offcoz Yanga for now hatuna Cha kupoteza.. kilichobaki ni kumpasua coastal union Kwa Mkapa then mechi zilizobaki zote tunatoa draw ili mufurahi nyie makolo
Uzuri wa Yanga inafanya mambo yake kitaalam! Kama tulivyojipanga kwenye usajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa wa ligi kuu, hakika tumefanikiwa kwa 99%. Na Jumamosi tunawapiga pale Kirumba, na kufuzu hatua ya fainali.Watani zetu Utopolo wakina Tate Mkuu na Shombe la Kisomali aina ya wachezaji wenu group stage caf mtaiota tu ila hamtagusa.
Chico UshindiWachezaji wa mafungu wanavyoitesa uto