Huo muda umeanza kuwa suala tangu zamani sana... tutaongeza mafundi wachache kwa ajili ya mashindano ya Kimataifa! Hivyo msimu ujao patachimbika. Ni suala tu la muda.
Nimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia).
Ofcoz bado hajawa na impact kubwa kama ilivyotarajiwa, lkn naomba wana-Yanga wenzangu tumpe muda zaidi. Atakuja kuwa tegemeo. Chiko si mbovu kama tunavyotaka kuaminishana
Wewe hujui mpira lazma ukubali hilo kwanza
Uaminishwe na nani tena wakati akicheza na wewe unaona anachokifanya?