Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

hili ni garasa tuu, tukubali tuu kuwa tulipigwa ni bora tungembakisha mkoko tuu
 
Wewe hujui mpira lazma ukubali hilo kwanza
Nimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia).

Ofcoz bado hajawa na impact kubwa kama ilivyotarajiwa, lkn naomba wana-Yanga wenzangu tumpe muda zaidi. Atakuja kuwa tegemeo. Chiko si mbovu kama tunavyotaka kuaminishana
 
Wengi wameanza kumuona Cihico Ushindi Hapa Tanzania tunayemfahamu tunasema kapigwa misumari huyo ni winga mzuri sana
 
Back
Top Bottom