Chiku keto aondoka la familia

Chiku keto aondoka la familia

Joined
Dec 10, 2011
Posts
78
Reaction score
21
Chiku keto aondoka la familia na amesema wazi kuwa chidi ndio chanzo kwenye mpango mzima wa yeye kuondoka., kwamba chidi hajui management na pia si muwazi., sasa hivi la familia ina watu wawili sababu lameck nae alishasepa.., ni chidi show ndio inampa kichwa...?? source ni kiss fm., D7 phone interview na chiku
 
Chiku keto ni mwanaharakati wa kweli hajaficha k2 chid cyo kiongozi mi mwenyewe nilikua nasikia la familia kwenye nyimbo 2 na cyo management big up chiku mwache chid na chid benz show yake
 
Kufoka na ku manage ni vitu viwili tofauti. Aajiri meneja
 
Back
Top Bottom