Chiku wa wapi tena ? Kwani huko Facebook umesoma nini juu ya Chiku ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chiku wa wapi tena ? Kwani huko Facebook umesoma nini juu ya Chiku ?
ngoja nitulize kichwa. Tatizo FB hawatoi maelezo vizuri. Najua nitapata infomeshen vizuri humu. Thread ya Chiku ilishawahi kuletwa humu name BAK namfaham hope si yeye
Hawana hela ya kumrudisha bongo huyo Chiku???
Rudini bongo nyie watu, mje mjenge nchi yenu... Huyo demu siamini kama alikuwa na kazi huko Norway...
ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla
Duh! kumbe umauti ulimkuta! mbele yeye nasi siku moja tutamfuata.![]()
Marehemu Chiku Ali Mkalu