Children of dictators (1/2) | DW Documentary

Wapo mfano ni George Bush. Obama. Trump na malikia Elizabeth.
Castro ana fit description ya dictator kama alifanya mema baadhi that's a whole different story. Nimekuuliza hivi alimuachia nani madaraka?

Miafrika tunateta kila mtu ilimradi tu katupendeza. Castro, Gaddafi, Mugabe, Idd Amin, Kim Un wote ni madikteta
 
Fidel Castro alikuwa dictator. Kusaidia Afrika, ni kweli kaisaidia, ila jinsi alivyoyabadilisha maisha ya waCuba, kuwafunga, kutokomea gerezani mpaka kifo, kisa hawataki kuishi anavyotaka yeye, kunamuweka katika kundi la madikteta. Na kama kawaida ya viongozi, wananchi aliwalazimisha kupanga mstari na kuwa na vibali kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima kama chakula, na kuzuia vitu vya anasa, magari, TV n.k. kutoka nje, ila yeye kwake na viongozi wenzie wa mapinduzi walikuwa wakijipatia wanavyotaka.
 
Ni kiongozi gani anaacha watu wake waishi kama WANAVYOTAKA?

Ni nchi gani kuna watu wanaishi jinsi WANAVYOTAKA?

Ni sayari gani binadamu anaishi jinsi ANAVYOTAKA?

UKIJIBU HAYA BASI NITAKUBALIANA NA WEWE KWAMBA CASTRO ALIKUWA DIKITETA.

Hata vyama vya siasa haviruhusu wanachama wake kujiamlia watakavyo.

Labda kwenye familia yako ndiko kila mtu anaidhi atakavyo. Lakini kwenye familia zenye maadili kuna miiko. Huwezi kuishi UNAVYOTAKA. Na hii miiko inaendana na wakati kulingana na mazingira ya wakati husika.
 
Fidel Castro alikuwa dictator. Kusaidia Afrika, ni kweli kaisaidia, ila jinsi alivyoyabadilisha maisha ya waCuba, kuwafunga, kutokomea gerezani mpaka kifo, kisa hawataki kuishi anavyotaka yeye, kunamuweka katika kundi la madikteta. Na kama kawaida ya viongozi, wananchi aliwalazimisha kupanga mstari na kuwa na vibali kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima kama chakula, na kuzuia vitu vya anasa, magari, TV n.k. kutoka nje, ila yeye kwake na viongozi wenzie wa mapinduzi walikuwa wakijipatia wanavyotaka.

Mkuu hawa watu kiongozi yeyote anayeipinga US basi wanampa-pass ya kuwa kiongozi bora hata kama hasimamii haki, usawa, democracy. Wao kiongozi bora ni mpinga Marekani tu

Leo hii kuna mamilioni ya wacuba Miami, US waliokimbia utawala dhalimu wa Castro halafu mtu yupo Ileje huko anadai Castro sio dikteta sababu tu aliipa TZ msaada na kupinga US vikali.

Alafu hawataki kujibu Castro alimuachia nani madaraka na kama wananchi waliafiki. Ila hawa hawa ndo wa kwanza kusema Magufuli ni dikteta huku wana internet, magari, TV nk wakati Cuba hadi leo hivi vitu ni restricted kwa asilimia kubwa
 
Kila system ya uongozi ina jema(zuri) na baya la kukufanya jamii ikaamini hufuati misingi ya utu...lakini tukumbuke basi uhuru uliopitiliza ni maafa....hivyo baadhi ya viongozi katika itikadi zao za uongozi za kuleta maendeleo huzuia baadhi ya mambo na marufuku hiyo huja kuzaa misuguano ...na jamii na huchukuliwa kama viongoz wa baya mfano mzuri ni Fidel Castro kipindi chake na cha sasa cha kaka yake uhuru wa mitandao ya kijamii ni finyu sana
 
Mtu wa Ileje Kama Eudorite mwenye uhuru wa kuandika hata kutukana mitandaoni anamtetea Castro bila kujua Cuba hawajui mtandao ni nini hadi leo.

Castro alikua na mazuri yake ila hiyo haimaanishi kwamba hakuwa dikteta. Aliharibu zaidi kwa kumpa mdogo wake nchi bila kushirikisha wananchi. Familia ya Castro wanaamini Cuba ni mali yao bado mtu anasema sio dikteta ila Magufuli ndo dikteta. Wawaulize wacuba wa Miami ambao ndugu zao waliuwawa na kufungwa kama Castro ni dikteta au lah ndo watajua
 
Kwahiyo Castro hakuwa dictator? Hivi alikaa madarakani muda gani na baada ya kuondoka alimuachia nani madaraka?

Alafu utakuta wewe ndo wa kwanza kulalamika Magufuli ni dictator
Kwani udikteta unatokana na kukaa madarakani kwa Muda mrefu?baba wa taifa huko kundi gani?
 
Kabla sijakujibu umeangalia hiyo documentary? Umeona Mtoto mwenyewe wa Castro anasemaje? Kuna part2 pia umeangalia

Binti wa Castro mwenyewe anasema hawezi msamehe baba yake Kama kiongozi ila wewe wa Ikwiriri upo hapa kutetea.
 
Huyooo sio bnt yakee katengenezwa na wazungu km wale waliodaiwa walilipua WTC ilaa humu namo JF namo mburula weng tu kama FB tofaut ndogo sana
 
Mkuu, pokea like mubashara kabisa.

Japo unachofanya analsyis yako unachekesha sana.
 
Back
Top Bottom