Castro ana fit description ya dictator kama alifanya mema baadhi that's a whole different story. Nimekuuliza hivi alimuachia nani madaraka?Wapo mfano ni George Bush. Obama. Trump na malikia Elizabeth.
Ni kiongozi gani anaacha watu wake waishi kama WANAVYOTAKA?Fidel Castro alikuwa dictator. Kusaidia Afrika, ni kweli kaisaidia, ila jinsi alivyoyabadilisha maisha ya waCuba, kuwafunga, kutokomea gerezani mpaka kifo, kisa hawataki kuishi anavyotaka yeye, kunamuweka katika kundi la madikteta. Na kama kawaida ya viongozi, wananchi aliwalazimisha kupanga mstari na kuwa na vibali kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima kama chakula, na kuzuia vitu vya anasa, magari, TV n.k. kutoka nje, ila yeye kwake na viongozi wenzie wa mapinduzi walikuwa wakijipatia wanavyotaka.
Fidel Castro alikuwa dictator. Kusaidia Afrika, ni kweli kaisaidia, ila jinsi alivyoyabadilisha maisha ya waCuba, kuwafunga, kutokomea gerezani mpaka kifo, kisa hawataki kuishi anavyotaka yeye, kunamuweka katika kundi la madikteta. Na kama kawaida ya viongozi, wananchi aliwalazimisha kupanga mstari na kuwa na vibali kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima kama chakula, na kuzuia vitu vya anasa, magari, TV n.k. kutoka nje, ila yeye kwake na viongozi wenzie wa mapinduzi walikuwa wakijipatia wanavyotaka.
Mtu wa Ileje Kama Eudorite mwenye uhuru wa kuandika hata kutukana mitandaoni anamtetea Castro bila kujua Cuba hawajui mtandao ni nini hadi leo.Kila system ya uongozi ina jema(zuri) na baya la kukufanya jamii ikaamini hufuati misingi ya utu...lakini tukumbuke basi uhuru uliopitiliza ni maafa....hivyo baadhi ya viongozi katika itikadi zao za uongozi za kuleta maendeleo huzuia baadhi ya mambo na marufuku hiyo huja kuzaa misuguano ...na jamii na huchukuliwa kama viongoz wa baya mfano mzuri ni Fidel Castro kipindi chake na cha sasa cha kaka yake uhuru wa mitandao ya kijamii ni finyu sana
[HASHTAG]#Kapo[/HASHTAG] Jr
You made a wonderful analysis.
Receive great likes
[HASHTAG]#Kapo[/HASHTAG] Jr
You made a wonderful analysis.
Receive great likes
Kwani udikteta unatokana na kukaa madarakani kwa Muda mrefu?baba wa taifa huko kundi gani?Kwahiyo Castro hakuwa dictator? Hivi alikaa madarakani muda gani na baada ya kuondoka alimuachia nani madaraka?
Alafu utakuta wewe ndo wa kwanza kulalamika Magufuli ni dictator
Kabla sijakujibu umeangalia hiyo documentary? Umeona Mtoto mwenyewe wa Castro anasemaje? Kuna part2 pia umeangaliaKwani udikteta unatokana na kukaa madarakani kwa Muda mrefu?baba wa taifa huko kundi gani?
Huyooo sio bnt yakee katengenezwa na wazungu km wale waliodaiwa walilipua WTC ilaa humu namo JF namo mburula weng tu kama FB tofaut ndogo sana