USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
UZINDUZI WA CHUMBA CHA MIONZI NA ZANA NA VIFAA IKIWEMO X-RAY MASHINE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO -KATOKE.
Baada ya kukamilika kwa majengo ya hospitali ya wilaya ya biharamulo na kuzinduliwa kuna baadhi ya huduma zilikuwa bado hazijaanza ikiwemo huduma ya mionzi hapa mbunge wa biharamulo anafanya jambo kubwa la kuzindua rasmi huduma hiyo kwa kushirikiana na mwenyekiti wa CCM wilaya ya biharamulo Comrade Robart Malulu.
Huduma hii inaiweka hospitali ya wilaya katika kiwango kingine na kutoa wasaa kwa wanabiharamulo kufaidika na uwepo wa hospitali yao ya wilaya ya sekondari.
Chumba cha kisasa na vifaa vya nchi za ulimwengu wa kwanza ni sehemu ya uwakilishi bora wa wanabiharamulo hapa ,kila anayepata huduma hapa anafurahi urais wa Dk Samia suluhu Hasan na uwepo wa CCM madarakani.
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI.