Chimala chuo cha unesi

Chimala chuo cha unesi

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
382
Habar wakuu.naomba kuuliza kuhusu chuo cha uuguzi chimala kimesajiliwa?je unawezapata ajira baada yakusoma hapo?ahsant
 
hicho chuo kwa sasa kimesajiriwa na ukihitimu unaweza pata kazi serikalini. nina mdg angu kamaliza mwaka jana sasa anasubir ajira ila ana rafiki yke kamaliza mwaka juzi kaajiriwa mojawapo ya hospital za halmashauri ya wilaya ya wanging'ombe
 
Ada zao zimekaaje bandugu ili tuendelee kukinadi hicho chuo. Make nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na wapwa zangu kuhusu vyuo vya nursing.
 
wanatoa nesing certificate?alafu khs registration nimejaribu kuangalia through cas hawapo hata ukigogle huoni reg.cjui.
 
Back
Top Bottom