hicho chuo kwa sasa kimesajiriwa na ukihitimu unaweza pata kazi serikalini. nina mdg angu kamaliza mwaka jana sasa anasubir ajira ila ana rafiki yke kamaliza mwaka juzi kaajiriwa mojawapo ya hospital za halmashauri ya wilaya ya wanging'ombe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.