U UGORO87 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 824 Reaction score 382 Apr 16, 2015 #1 Habar wakuu.naomba kuuliza kuhusu chuo cha uuguzi chimala kimesajiliwa?je unawezapata ajira baada yakusoma hapo?ahsant
Habar wakuu.naomba kuuliza kuhusu chuo cha uuguzi chimala kimesajiliwa?je unawezapata ajira baada yakusoma hapo?ahsant
Yugu JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 1,080 Reaction score 329 Apr 16, 2015 #2 hicho chuo kwa sasa kimesajiriwa na ukihitimu unaweza pata kazi serikalini. nina mdg angu kamaliza mwaka jana sasa anasubir ajira ila ana rafiki yke kamaliza mwaka juzi kaajiriwa mojawapo ya hospital za halmashauri ya wilaya ya wanging'ombe
hicho chuo kwa sasa kimesajiriwa na ukihitimu unaweza pata kazi serikalini. nina mdg angu kamaliza mwaka jana sasa anasubir ajira ila ana rafiki yke kamaliza mwaka juzi kaajiriwa mojawapo ya hospital za halmashauri ya wilaya ya wanging'ombe
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Apr 16, 2015 #3 Kipo pouwa kwa sasa all da best
W wambra Member Joined Apr 15, 2015 Posts 15 Reaction score 2 Apr 16, 2015 #4 Atakwetu kuna nesi wengi kutoka chimala
Kisima JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,114 Reaction score 4,486 Apr 16, 2015 #6 Ada zao zimekaaje bandugu ili tuendelee kukinadi hicho chuo. Make nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na wapwa zangu kuhusu vyuo vya nursing.
Ada zao zimekaaje bandugu ili tuendelee kukinadi hicho chuo. Make nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na wapwa zangu kuhusu vyuo vya nursing.
U UGORO87 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 824 Reaction score 382 Apr 16, 2015 Thread starter #7 wanatoa nesing certificate?alafu khs registration nimejaribu kuangalia through cas hawapo hata ukigogle huoni reg.cjui.
wanatoa nesing certificate?alafu khs registration nimejaribu kuangalia through cas hawapo hata ukigogle huoni reg.cjui.