Chimamanda Ngozi Adichie:‘Nataka kusema kilicho fikrani mwangu’

Chimamanda Ngozi Adichie:‘Nataka kusema kilicho fikrani mwangu’

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kwa wengi, Chimamanda Ngozi Adichie alipata umaarufu wakati mazungumzo yake kwenye TED Talk, “We should all be feminists” iliposhirikishwa katika wimbo wa Beyoncé Flawless, lakini vitabu vyake vimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 30 duniani kote.

Mwandishi huyu maarufu wa Nigeria anazungumzia majukumu yanayotokana na kuonekana kama "shujaa" wa ufeministi na wengi, na anatoa mawazo yake juu ya "kufuta utamaduni" na kile anachokiona kama " kama matumizi ya lugha isiyo sahih’ kuhusu wanawake waliobadili jinsia au trans- women

kuhusu uandishi wake mpya zaidi - kitabu ambacho kinashughulikia huzuni ya kibinafsi ya kufiwa na babake mnamo 2020 na kwa nini amechagua kuwa wazi kuhusu wakati huu maishani mwake.

Mfahamu Chimamanda Ngozi soma zaidi>>>> Chimamanda Ngozi Adichie Mwandishi nguli Africa
 
Mama yako umemsahau kijijini. Unamshobokea Chinamanda ambae hakujui
 
Mama yako umemsahau kijijini. Unamshobokea Chinamanda ambae hakujui
Chimanda ni kwenye uwanja wa Uandishi ila nikiingia kwenye uwanja wa Malezi au sehemu nyingine ambayo mama yangu anapaswa kutajwa sitosita kumtaja.
 
Back
Top Bottom