Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,838 Reaction score 25,282 Oct 16, 2022 #1 Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli . Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje?? Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota . Yanga ni timu ya mazingira
Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli . Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje?? Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota . Yanga ni timu ya mazingira
Feisal2020 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 1,113 Reaction score 2,656 Oct 16, 2022 #2 Unique Flower said: Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli . Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje?? Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota . Yanga ni timu ya mazingira Click to expand... Kuna mambo mawili hapa, Inawezekana mimi sijui kusoma au wewe hujui kuandika.
Unique Flower said: Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli . Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje?? Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota . Yanga ni timu ya mazingira Click to expand... Kuna mambo mawili hapa, Inawezekana mimi sijui kusoma au wewe hujui kuandika.
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,838 Reaction score 25,282 Oct 16, 2022 Thread starter #3 Utajua hujui umeanza kupoteza dira tumeshinda