Chimba oyeee

Chimba oyeee

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli .

Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje??

Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota .

Yanga ni timu ya mazingira
 
Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli .

Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje??

Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota .

Yanga ni timu ya mazingira
Kuna mambo mawili hapa, Inawezekana mimi sijui kusoma au wewe hujui kuandika.
 
Back
Top Bottom