mrangi itabidi tutafutane mzee wangu. Unamkumbuka mangoru, baro, kamanyola....Unanikumbusha enzi za tunduru
Na songea hapo kitai....
Mawe ya kelele,mlioooo
Ova
Baro hahaa yupo kusini hukomrangi itabidi tutafutane mzee wangu. Unamkumbuka mangoru, baro, kamanyola....
Nina muda sijamuona sana tajiri yule haahaa.Baro hahaa yupo kusini huko
Yupo anapiga mishe zake hizo hizoNina muda sijamuona sana tajiri yule haahaa.
Ngoja nitafute mwanya siku ntafumana nae..Yupo anapiga mishe zake hizo hizo
Yule Mwamba alitisha hadi kupewa Kesi ya Uhujumi Uchumi 🙌Songea kwa matukio hawajambo,nimekumbuka kisa Cha yule tajiri aliyekua ananunua mahindi
SHAMBA LAKO LIKIWA NA MADINI NI ENEO LA SERIKALI, NGOJA UKAMATWE UNALIMA BANGI SASARUVUMA.
Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika.
Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa.
Kwa sasa magari hayawezi kufika na hata boda zenyewe ni chache sababu waendesha boda wenyewe wamegeukia madini.
Nimeiona taarifa hii ikiwa inatamatika kupitia Uhai Televisioni.
Aliye na taarifa za undani mwaga maelezo yakinifu, nauli ipo tayari kuelekea kujaribu bahati, Nelson Jacob Kagame vipi unaonaje hili chimbo?
Jamaa ananiambia boda hadi machimboni 30kl, jamaa wanapiga trip za kutosha, vibanda vya mamalishe nk vimemea vya kutosha.Nimeona iyo video, kijiji cha Matepwende, Namtumbo Ruvuma.
Mapambano yaendelee.
Ruvuma wamebarikiwa madini ya vito pia kulikua na madini ya Uranium.
Kwenye Rush zozote za madini hao ndiyo wanatajirika. Peleka bia, msosi, vifaa vya kuchimbia, jenga gesti ya mabati, kuwa pimp, uza bangi, sigara nk nk. Wewe ndiyo utatoka. Asilimia kubwa ya prospectors wanarudi na viraka. BTW, ni madini gani yamelipuka?Jamaa ananiambia boda hadi machimboni 30kl, jamaa wanapiga trip za kutosha, vibanda vya mamalishe nk vimemea vya kutosha.
Machimbo mapya hayajatambikiwa na wazee.......watakula garasa.RUVUMA.