Chimbo jipya la Madini laibuka Songea, Mnakaribishwa.

RUVUMA.
Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika.

Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa.

Kwa sasa magari hayawezi kufika na hata boda zenyewe ni chache sababu waendesha boda wenyewe wamegeukia madini.

Nimeiona taarifa hii ikiwa inatamatika kupitia Uhai Televisioni.

Aliye na taarifa za undani mwaga maelezo yakinifu, nauli ipo tayari kuelekea kujaribu bahati, Nelson Jacob Kagame vipi unaonaje hili chimbo?
Nawaombea heri wapambanaji wafanikiwe. Je si kuna hatari ya ugonjwa wa kipindupindu kulipuka?

Mungu awalinde.
 
BORA WACHIMBE HARAKA MADINI YAUZWE WABUNGE WAONGEZEWE MISHAHARA MIL.18 ni Pesa ya MBOGA
 
Nawaombea heri wapambanaji wafanikiwe. Je si kuna hatari ya ugonjwa wa kipindupindu kulipuka?

Mungu awalinde.
Bado haujafika huko, mimi nipo Njombe napanga kushuka hapo machimboni.
 
Back
Top Bottom