Chimbo la angle/trunk za chuma za kujengea dari pamoja na gypsum

Chimbo la angle/trunk za chuma za kujengea dari pamoja na gypsum

Daddi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
890
Reaction score
1,395
Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari.

Huwa zinatumika pamoja na gypsum.

Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk.

Naomba kujua duka na bei zake.
 
Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari.

Huwa zinatumika pamoja na gypsum.

Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk.

Naomba kujua duka na bei zake.
Hayo mambo mitaa ya gerezani.
 
Kuna main channel hzo zinaenda mpaka 6500, c channel 5000 na angle Chanel 5000 pita diy mwenge utazipata
 
Back
Top Bottom