Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

ndege JOHN nambie duka specific ambalo umelipenda sana na huwa unakuta vitu vya uhakika mtaa upi
Me nanunua kwa mtu halafu sio Dar me nipo singida Kaka..huyo mmama ninayenunu kwake ye Ana uzoefu anatumiwa tu anapokea mzigo anatuuzia sisi..ila ndo hivo laki sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…