mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
- Thread starter
- #41
Duh! Hii nilikuwa siijui kwa kweli! Unaagiza kwa kupitia njia gani Mkuu?Ndio hata moja mzee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hii nilikuwa siijui kwa kweli! Unaagiza kwa kupitia njia gani Mkuu?Ndio hata moja mzee.
Unacheck na supply, una muelekeza kwa forwarder wako. Unaweza watumia silent Ocean.Duh! Hii nilikuwa siijui kwa kweli! Unaagiza kwa kupitia njia gani Mkuu?
Ngoja niwagoogle Hawa silent ocean! Kwa Hali hii Bora kuagizia huko huko duniani tu.Unacheck na supply, una muelekeza kwa forwarder wako. Unaweza watumia silent Ocean.
Ukichukua kidogo bei ni kubwa hata kwenye usafiri pia (ila sio kubwa sana) ukichukua container pia bei inakuwa nzuri. Wastani wa kusafirisha karatasi per 1cbm ni $500.
Cbm 1 zinakuwa ream ngapi kwa makadirioUnacheck na supply, una muelekeza kwa forwarder wako. Unaweza watumia silent Ocean.
Ukichukua kidogo bei ni kubwa hata kwenye usafiri pia (ila sio kubwa sana) ukichukua container pia bei inakuwa nzuri. Wastani wa kusafirisha karatasi per 1cbm ni $500.
Supplier wengine bei kwa piece moja (1pack ni ¥12.8 sawa na 4575) sawa na 25,000 kwa carton ila inatakiwa uchukue piece 8,000 sawa na carton 1,600.Ngoja niwagoogle Hawa silent ocean! Kwa Hali hii Bora kuagizia huko huko duniani tu.
Duh! So cheap! Nahisi hata ule utitiri wa wauzaji wa vifaa vya stationery pale kariakoo, itakuwa wanatembelea kwa mwendo huu huu!Supplier wengine bei kwa piece moja (1pack ni ¥12.8 sawa na 4575) sawa na 25,000 kwa carton ila inatakiwa uchukue piece 8,000 sawa na carton 1,600.
Ila ukiongea nae unaweza chukua chini ya hizo pcs.
Container ya 20ft inabeba ream 8000 sawa na carton 1600 bila pallets na container ya 40ft ni ream 16000 sawa na carton 8000Cbm 1 zinakuwa ream ngapi kwa makadirio
Kabisa very cheap.Duh! So cheap! Nahisi hata ule utitiri wa wauzaji wa vifaa vya stationery pale kariakoo, itakuwa wanatembelea kwa mwendo huu huu!
Mbona kuna shule nimepeleka mdogo wangu jana wameniambia nitoe elfu 15 ya ream????!!!. Jamani huu ni wizi.Mikoani sio chini ya Tshs elfu 7 per pc
Yanapiga hela haya majamaa
Mbona kuna shule nimepeleka mdogo wangu jana wameniambia nitoe elfu 15 ya ream????!!!. Jamani huu ni wizi.
Bei ya jumla hio jombaaMbona kuna shule nimepeleka mdogo wangu jana wameniambia nitoe elfu 15 ya ream????!!!. Jamani huu ni wizi.
Ukifanikiwa nijuzs mkuuWana Bodi za jioni,
Nina biashara ya steshenari huko pande za mikoani! Jana nilikua Kariakoo kufunga mzigo! Lakini lile duka ambalo nilikua nanunulia mzigo nilikua nashuhudia muuzaji akiwatuma vijana kunitafutia ream toka katika chimbo ambalo sikua nalijua! Nikahisi kuna chimbo ambalo bei iko chini zaidi maana jamaa alikua ananipiga carton kwa 39,000/=
Naomba kama kuna mdau anajua chimbo la hizi ream anijulishe maana mwezi Novemba nakusudia kuchukua mzigo mkubwa zaidi kwa ajili ya wateja wangu.
Natanguliza shukrani.
Kabla hujasema cheap jumlisha na usafiri kwanza 😁Kabisa very cheap.
Usafiri sio bei sana carton 1 ni kati ya $10-23 kulingana na uzito/dimensions za package ambazo hutumika ku calculate price kwa cubic meter (CBM)Kabla hujasema cheap jumlisha na usafiri kwanza [emoji16]
Ni Kama sijaelewa mkuuUsafiri sio bei sana carton 1 ni kati ya $10-23 kulingana na uzito/dimensions za package ambazo hutumika ku calculate price kwa cubic meter (CBM)
Pallets ni niniContainer ya 20ft inabeba ream 8000 sawa na carton 1600 bila pallets na container ya 40ft ni ream 16000 sawa na carton 8000
So 1 CBM sawa na ream 242 na hizo ream 8000 sawa na 33Cbm .
Pia bei ya kusafirisha wanaweza calculate kulingana na uzito.
Wooden/plastic flat- bladed instruments used to stack, store, protect, and transport materialsPallets ni nini
Hizi pale awale ni kama 42000 hivi bei yake imechangamka kidogo ila ana za A One na mondi ndio unapata kwa 33000 hadi 35000