Chimbo la Unyunyu, Utuli, Manukato na Uvumba. Nimechoka kutakwa na Mademu nawashauri nanyi ....

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu.

Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa kama Ice Cream au Chocolate kwao. Wananikubali kichizi. Nami nina Swaga za Kinyak na Sounds kitaa basi kila wakati wanakata wakae karibu nami.

Basi huwa nawapangusa mmoja mmoja. Demu mmoja alikuwa mbishi anajifanya ana msimamo basi siku hiyo nimerudi toka mamtoni nikawa nampa mwenzie zawadi ya perfume kali sana mbele yake. Kumbe baada ya siku kadhaa akaenda kuomba apewe jina. Kazunguka Dar nzima hakupata. Baadaye akaanza kunisalimia.

Basi nikajenga naye mazoea. Jana katoka kazini tumepita naye somewhere kunywa na kula. Leo kaja home.. nimempangusa naye. Kumbe hana maajabu. Ameniambia nikisafiri tena nimletee perfume kali sana. Nimemwambia sawa. Kwisha habari yake.

Sasa nikawaza hivi hata hapa town wapi kuna chimbo la perfume kali kwa bei chee? Maana kuna mademu watatu tayari kitaa nimewaahidi. Hawa wa uswazi tu wale wanaotumua perfumes za tsh 30,000. Mmoja anauza duka la dawa. Mwingine nurse na mwingine ana duka la electronic. Nataka nao niwasajiri.

Jamani wapi kariakoo kuna machimbo ya perfume nzuri kwa bei rahisi? Tupeane uzoefu nami nitawaonesha sehemu ya kupata mademu wakali kwa njia rahisi tu. Msisahau kuwapima.
 
Ulimpa perfume gani kali, tuanzie hapo mkuu kabla hatujakuonyesha machimbo na kwa sasa "unavaa" perfume ganina ulinunua kwa bei gani?

Tusije kukuelekeza za kupima, za kuchakachua n.k
Umeua
 
Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu.

Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa kama Ice Cream au Chocolate kwao. Wananikubali kichizi. Nami nina Swaga za Kinyak na Sounds kitaa basi kila wakati wanakata wakae karibu nami.

Basi huwa nawapangusa mmoja mmoja. Demu mmoja alikuwa mbishi anajifanya ana msimamo basi siku hiyo nimerudi toka mamtoni nikawa nampa mwenzie zawadi ya perfume kali sana mbele yake. Kumbe baada ya siku kadhaa akaenda kuomba apewe jina. Kazunguka Dar nzima hakupata. Baadaye akaanza kunisalimia.

Basi nikajenga naye mazoea. Jana katoka kazini tumepita naye somewhere kunywa na kula. Leo kaja home.. nimempangusa naye. Kumbe hana maajabu. Ameniambia nikisafiri tena nimletee perfume kali sana. Nimemwambia sawa. Kwisha habari yake.

Sasa nikawaza hivi hata hapa town wapi kuna chimbo la perfume kali kwa bei chee? Maana kuna mademu watatu tayari kitaa nimewaahidi. Hawa wa uswazi tu wale wanaotumua perfumes za tsh 30,000. Mmoja anauza duka la dawa. Mwingine nurse na mwingine ana duka la electronic. Nataka nao niwasajiri.

Jamani wapi kariakoo kuna machimbo ya perfume nzuri kwa bei rahisi? Tupeane uzoefu nami nitawaonesha sehemu ya kupata mademu wakali kwa njia rahisi tu. Msisahau kuwapima.
Taja perfume zilizokufanya chocolate zaidi ya hapo ni .....
 
Haya ndio mambo CCM wanataka kusikia . Ukidai katiba ni uhaini
 
Haya mauchawi ya pwani walioletwa na watu wa bara la Asia nikikaa na mtu aliyejipaka nahisi kutspika, mara nyingi watu wa pwani wanaofuata dini ya mwarabu huyapenda Sana na viongozi wa kwenye taasisi pia harufu hizo husikila kutoka kwao.

Nikiingia duka lolote nikakuta kawasha ma wudi narudua hapo hapo sinunui
 
Back
Top Bottom