Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
UmeuaWengine wanatafuta pesa ili kutatua matatizo yao wengine wanatafuta pesa ili wapate mademu ila sisi sote binadamu
Jamaa yupo sahihi wengine hawanaga shida za kutatua zaidi ya kula pesa zakeUmeua
UmeuaUlimpa perfume gani kali, tuanzie hapo mkuu kabla hatujakuonyesha machimbo na kwa sasa "unavaa" perfume ganina ulinunua kwa bei gani?
Tusije kukuelekeza za kupima, za kuchakachua n.k
Sahihi ona tuuuu anavyojiitaUtoto mwingi hapa
UmemalizaJamaa yupo sahihi wengine hawanaga shida za kutatua zaidi ya kula pesa zake
Taja perfume zilizokufanya chocolate zaidi ya hapo ni .....Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu.
Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa kama Ice Cream au Chocolate kwao. Wananikubali kichizi. Nami nina Swaga za Kinyak na Sounds kitaa basi kila wakati wanakata wakae karibu nami.
Basi huwa nawapangusa mmoja mmoja. Demu mmoja alikuwa mbishi anajifanya ana msimamo basi siku hiyo nimerudi toka mamtoni nikawa nampa mwenzie zawadi ya perfume kali sana mbele yake. Kumbe baada ya siku kadhaa akaenda kuomba apewe jina. Kazunguka Dar nzima hakupata. Baadaye akaanza kunisalimia.
Basi nikajenga naye mazoea. Jana katoka kazini tumepita naye somewhere kunywa na kula. Leo kaja home.. nimempangusa naye. Kumbe hana maajabu. Ameniambia nikisafiri tena nimletee perfume kali sana. Nimemwambia sawa. Kwisha habari yake.
Sasa nikawaza hivi hata hapa town wapi kuna chimbo la perfume kali kwa bei chee? Maana kuna mademu watatu tayari kitaa nimewaahidi. Hawa wa uswazi tu wale wanaotumua perfumes za tsh 30,000. Mmoja anauza duka la dawa. Mwingine nurse na mwingine ana duka la electronic. Nataka nao niwasajiri.
Jamani wapi kariakoo kuna machimbo ya perfume nzuri kwa bei rahisi? Tupeane uzoefu nami nitawaonesha sehemu ya kupata mademu wakali kwa njia rahisi tu. Msisahau kuwapima.
Haya ndio mambo CCM wanataka kusikia . Ukidai katiba ni uhainiNmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu.
Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa kama Ice Cream au Chocolate kwao. Wananikubali kichizi. Nami nina Swaga za Kinyak na Sounds kitaa basi kila wakati wanakata wakae karibu nami.
Basi huwa nawapangusa mmoja mmoja. Demu mmoja alikuwa mbishi anajifanya ana msimamo basi siku hiyo nimerudi toka mamtoni nikawa nampa mwenzie zawadi ya perfume kali sana mbele yake. Kumbe baada ya siku kadhaa akaenda kuomba apewe jina. Kazunguka Dar nzima hakupata. Baadaye akaanza kunisalimia.
Basi nikajenga naye mazoea. Jana katoka kazini tumepita naye somewhere kunywa na kula. Leo kaja home.. nimempangusa naye. Kumbe hana maajabu. Ameniambia nikisafiri tena nimletee perfume kali sana. Nimemwambia sawa. Kwisha habari yake.
Sasa nikawaza hivi hata hapa town wapi kuna chimbo la perfume kali kwa bei chee? Maana kuna mademu watatu tayari kitaa nimewaahidi. Hawa wa uswazi tu wale wanaotumua perfumes za tsh 30,000. Mmoja anauza duka la dawa. Mwingine nurse na mwingine ana duka la electronic. Nataka nao niwasajiri.
Jamani wapi kariakoo kuna machimbo ya perfume nzuri kwa bei rahisi? Tupeane uzoefu nami nitawaonesha sehemu ya kupata mademu wakali kwa njia rahisi tu. Msisahau kuwapima.
Wengine wanatafuta pesa ili kutatua matatizo yao wengine wanatafuta pesa ili wapate mademu ila sisi sote binadamu
Njoo inbox nikusaidie shida kama YakoMimi kwa sasa matatizo ya pesa sina kwa kweli. Huko nmeshatoka..
Hongera sana mkuu kwa hatua ulizofikiaMimi kwa sasa matatizo ya pesa sina kwa kweli. Huko nmeshatoka..
Haya mauchawi ya pwani walioletwa na watu wa bara la Asia nikikaa na mtu aliyejipaka nahisi kutspika, mara nyingi watu wa pwani wanaofuata dini ya mwarabu huyapenda Sana na viongozi wa kwenye taasisi pia harufu hizo husikila kutoka kwao.Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu.
Moja ya ulevi wangu mkubwa ni mambo hayo ya unyunyu aka utuli. Basi mademu wananizimikia kinyama. Nmekuwa kama Ice Cream au Chocolate kwao. Wananikubali kichizi. Nami nina Swaga za Kinyak na Sounds kitaa basi kila wakati wanakata wakae karibu nami.
Basi huwa nawapangusa mmoja mmoja. Demu mmoja alikuwa mbishi anajifanya ana msimamo basi siku hiyo nimerudi toka mamtoni nikawa nampa mwenzie zawadi ya perfume kali sana mbele yake. Kumbe baada ya siku kadhaa akaenda kuomba apewe jina. Kazunguka Dar nzima hakupata. Baadaye akaanza kunisalimia.
Basi nikajenga naye mazoea. Jana katoka kazini tumepita naye somewhere kunywa na kula. Leo kaja home.. nimempangusa naye. Kumbe hana maajabu. Ameniambia nikisafiri tena nimletee perfume kali sana. Nimemwambia sawa. Kwisha habari yake.
Sasa nikawaza hivi hata hapa town wapi kuna chimbo la perfume kali kwa bei chee? Maana kuna mademu watatu tayari kitaa nimewaahidi. Hawa wa uswazi tu wale wanaotumua perfumes za tsh 30,000. Mmoja anauza duka la dawa. Mwingine nurse na mwingine ana duka la electronic. Nataka nao niwasajiri.
Jamani wapi kariakoo kuna machimbo ya perfume nzuri kwa bei rahisi? Tupeane uzoefu nami nitawaonesha sehemu ya kupata mademu wakali kwa njia rahisi tu. Msisahau kuwapima.
We wa Mamtoni unatafuta perfume Kali kwa bei chee tena bei ya Bongo?ππSasa nikawaza hivi hata hapa town wapi kuna chimbo la perfume kali kwa bei chee?
HahahaHaya ndio mambo CCM wanataka kusikia . Ukidai katiba ni uhaini
We wa Mamtoni unatafuta perfume Kali kwa bei chee tena bei ya Bongo?ππ