Chimbo la vyombo vya nyumbani Bei ya kutupa

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
161
Reaction score
128
Wana Jamii,

Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640.
Bei zetu;
50pcs : 175,000/-
100pcs: 350,000/-
500pc : 2m
1000pcs : 3.5m
Wateja wa mikoani tunatuma sema watajilipia usafiri. Kwa dar es salaam tuna deliver.
Pia wateja wa PC 6, 12 au 24 nao tunawauzia.

Karibuni.
Mzigo upo maeneo ya Tegeta.
 
Attachments

  • IMG-20230630-WA0022.jpg
    44.6 KB · Views: 81
  • IMG-20230630-WA0021.jpg
    37.2 KB · Views: 88
  • VID-20230321-WA0008.mp4
    2.5 MB
Sa mbona kama umepanic jombaa we umepoat biashara basi tulia ukiona comment haikufurahishi si lazima uijibu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Sa mbona kama umepanic jombaa we umepoat biashara basi tulia ukiona comment haikufurahishi si lazima uijibu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Namjua mkuu na yeye anauza vyombo. Na alitaka kununua mzigo wote kwa nusu bei wakati yeye anauza hivyo hivyo apate pesa. So anakuja na majina tofauti kuweka negative comments. hahaah!!
 
DUh umekasirika nini sasa ,wewe umeshatangaza biashara yako...
Ila mchina yupo anauza kilo 4000 na watu wanapenda hivyo
 
Namjua mkuu na yeye anauza vyombo. Na alitaka kununua mzigo wote kwa nusu bei wakati yeye anauza hivyo hivyo apate pesa. So anakuja na majina tofauti kuweka negative comments. hahaah!!
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kwamba na mi nauza vyombo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Siuzi vyombo mwaya na hata kununua tu siwezi sina pa kuviweka ๐Ÿ˜…
 
Hivi vyote bei gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ