Chimbo la vyombo vya nyumbani Bei ya kutupa

Mimi si mtabiri ila naona vile mleta uzi atakavyokasirishwa na uzi wake kufika mbalii 😂😂😂
 
Amna unaweza kuta mabakuli yale makubwaa yale ya kusave 1 ndo kilo moja vikombe vinne labda ndo kilo 1 inadepend na uzito tu wa vyombo

Kama hautojali tunaomba maelekezo namna ya kufika hapo kwa mchina Ubungo Tafadhali [emoji120]
 
Sijui kuelekza ila ntajitahidi..

Godown lipo ubungo maziwa kama unatokea external unaenda mpaka pale kwenye njiapanda ile ya kushoto mabibo kulia ubungo maziwa mbele shekilango [emoji3][emoji3] we utaenda na ile ya kwenda maziwa mbele tu kdg baada ya ile njia panda godown lipo jirani na kanisa la kilokole sijui lile

Ukiona huelewi ukifika tu pale kwenye ile njia panda uliza mtu yoyote godown kwa mchina ni wapi
 
hapo mahali pana jina nikimuambia boda anaweza kunipeleka?
 
Back
Top Bottom