KnucleBreaker
Member
- Jan 10, 2022
- 21
- 29
Angalia kwako kama hutaki hayo maeneoHabari wakuu
Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.
Nawasilisha.
Sisi wastarabu match kama hizi tunaangaliazia home na limvua la Leo unakwenda wapi na watotoHabari wakuu
Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.
Nawasilisha.
Nyumbani tuHabari wakuu
Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.
Nawasilisha.
Piga lunch ha maana na familia alafu baada ya hapo mnacheki game. Kama mke ni yanga lia lia basi raha kabisa wee unasubiri mayele afumge wife aanze kutetema🤣🤣🤣🤣Pamoja wakuu.. ngoja nitulie home tu.
Unawasilisha ili iweje? Wewe na familia yako ni jamii ya kuku? Mnataga? Mkitulia mahome kwenu na kuangalia mpira mtapungukiwa na nini? 😡😡😡😡😡😡Habari wakuu
Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.
Nawasilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga lunch ha maana na familia alafu baada ya hapo mnacheki game. Kama mke ni yanga lia lia basi raha kabisa wee unasubiri mayele afumge wife aanze kutetema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]