Chimbo tulivu la kuangalia mpira na familia

Chimbo tulivu la kuangalia mpira na familia

Kunywa bia bila mziki ni kama unakunywa juisi ya tunda.
Na kama hutaki kuangalia mpira bar au kibanda umiza, angalia nyumbani kwako.
 
Pamoja wakuu.. ngoja nitulie home tu.
Piga lunch ha maana na familia alafu baada ya hapo mnacheki game. Kama mke ni yanga lia lia basi raha kabisa wee unasubiri mayele afumge wife aanze kutetema🤣🤣🤣🤣
 
Sehemu tulivu alafu unaangalia mpira?, kwenye mpira utulivu hakuna labda iwe nyumbani kwako,
Sema angalau sehemu yenye ustaarabu kiasi siyo sehemu ukigeuka unakutana na moshi wa fegi na mazengwe kama hayo
 
Habari wakuu

Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.

Nawasilisha.
Unawasilisha ili iweje? Wewe na familia yako ni jamii ya kuku? Mnataga? Mkitulia mahome kwenu na kuangalia mpira mtapungukiwa na nini? 😡😡😡😡😡😡
 
Piga lunch ha maana na familia alafu baada ya hapo mnacheki game. Kama mke ni yanga lia lia basi raha kabisa wee unasubiri mayele afumge wife aanze kutetema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom