Chimbo za gest za bei nafuu

Ukitaka chumba cha hadhi kuna Morena Hotel pale chumba kuanzi 50k mpaka 500k room bomba kabisa hapo ni kwa madoni tu.
Mara ya mwisho nililala hapo.....pako swafi sana kiukweli
 
Usiwaze mkuu ni mwendo wa kugeuza kama chapati mpaka kinukie nyama choma nimepiga bapa mbili hapa lazima anyooke
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] angalie tu usiue papuchi yake jua kesho ni chakula ya mwanaume mwenzako
 
St john kuna demu wangu usije tu ukamkata ngoja nimpigie nihakikishe kama siyo yeye
Hahahaha hawez kukuambia sehem alipo dem ukimpiga mgongo Sio wako tena
Mkiwa wote pamoja Ndiyo wako
 
Dom nimewahi lala George Town ipo maeneo ya chuo cha Mipango 10k na Merryland ya Mailimbili ni 40k
 
Hahahaha hawez kukuambia sehem alipo dem ukimpiga mgongo Sio wako tena
Mkiwa wote pamoja Ndiyo wako
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sema mtoto huwa ananiuma Roho yule ni mkali kinyamaa
 
Reactions: wax
Dom nimewahi lala George Town ipo maeneo ya chuo cha Mipango 10k na Merryland ya Mailimbili ni 40k
Unalala lodge 40K dodoma ni uzembe mkubwa sana mkuu hapo ungetenga tu 25k ungepata Room ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…