Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Mh wap hyoTwende kule Nkuhungu buku 7 tu Lodge safii single, self 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh wap hyoTwende kule Nkuhungu buku 7 tu Lodge safii single, self 10
Hii maeneo ya nkuhungu mengi tu ndo Bei zao na sio Gest ni Lodge mkuu ndani safiiMh wap hyo
Nipe namba yake mkuu,nimshauri arudiAnaitwa Glory mkuu...mtoto mmoja hivi wa kichaga..
Najua huezi mjua, since hayo majina ya Glory wapo wengi.
Mbaya zaidi demu mwingine alo tokea kunipenda tena saivi anaitwa Glory na ni mchaga..
Nmekaa najiuliza,is it coincidence?
Tofauti ni kazi zao tu,
Cc Zero IQ
Chetto lodge maeneo ya chako ni chako pemben ya destination garden,20k iko vizuri sana ndani
Vp mzee mbona hee
Hapo nilimpeleka yule mdada wa benkiVp mzee mbona hee
SONGEA Wajuvi wa location na guest zenye price nzuri fungukeni
Sawa mkuu pamoja sana sema wewe si huwa unalala sie tunaenda kupiga game na kusepa.sema kuna siku nitakuja kukutembelea hapo panapo majaliwa, ila mimi Lodge za chini noo, Uyole nilisalimika kifo mkuu, Guest ilivamiwa na majambazi wapangaji wenzangu walichapwa sana sana. Tokea siku hio mimi ni kuanzia gorofa ya tatu kwenda juu. Nafanya booking siku tatu kabla.