Hata Ugabe Hotel ujawahi kuingia.Na tusiowahi kuingia Lodge au guest tuna comment wapi?
Duuuh yaan naishia kuiona pale nikiwa stand.Hata Ugabe Hotel ujawahi kuingia.
Basi sawaaaaah.Nyie kaeni nje tutawaita..ila kama unataka kuingi lodge au guest karibu utapata mwongozo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Siku moja uende kuuliza bei au nunua maji.Duuuh yaan naishia kuiona pale nikiwa stand.
pale Ugabe 1 day ntaenda, ila bora hata ungenambia Half London Lodge ile iliyopo karibu na La Charz.Siku moja uende kuuliza bei au nunua maji.
Fanya uende hata Matimbula Guest House,Madamba na Mfaranyaki Guest House.